Marekani · Global Voices in Swahili
Global Voices ni jumuiya ya kimataifa ya waandishi, watafsiri, wanataaluma na wanaharakati wa haki za kidijitali wanaozungumza lugha mbalimbali.

"Siwezi kunyamazia mfumo wa elimu unaozidisha matarajio yanayoadhibu na kufedhehesha watoto wa taifa hili."
Kuna takribani lugha 150 nchini Tanzania, lakini lugha ya Kisawhili imepewa upendeleo mkubwa, hasa katika muktadha wa elimu ya msingi. Wanazuoni Hannah Gibson (Chuo Kikuu cha Essex) na Gastor Mapunda...
Kama mkurugenzi wa mradi wa utetezi (Advox), Nanjala ataongoza uhariri wa uandishi wa habari za Global Voices, utafiti, uanaharakati na utetezi wa uhuru wa kujieleza na haki za kidijitali na teknolojia.
Ulikosa matangazo mubashara ya Juni 17 kuhusu "Mazungumzo ya Global Voices" yaliyomshirikisha msomi wa masuala ya habari Tanya Lokot kuhusu kitabu chake cha "Beyond the Protest Square"? Tazama hapa video na sauti ya marudio ya matangazo hayo.
Tunafurahi kutangaza kuongezeka kwa wanachama wawili makini waliojiunga na bodi yetu ya wakurugenzi
Mapigano baina ya makundi ya wapiganaji wa jihad yameendelea kuongezeka tangu mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika 2015